ni kijana mmoja wa mujini huko dar es salaam....kijiwe chake maarufu ni pale falcon karibu na kidongo chekundu...amekuwa akigawa pesa katika majumba ya starehe na matamasha ya ma-bendi hususani za wa-congo.......ni wabishi-wa mujini huko dar es salaam...yeye deal yoyote anafanya ili mradi imuingizie pesa
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi