"Ndama mtoto wa Ng'ombe" anyakwa na polisi

Tafuta CD ya Fally Pupaa iliyozagaa mitaani utamwona akigawa pesa bila kuchoka

asante raia kwa maelezo mazuri, nadhani sasa walikua hawamjui wanamjua, ni watu wa style ya kina papaa msofe, muzamir katunzi nk
 
huyu ndama ndie nani? Mbona sijawahi msikia?

ni kijana mmoja wa mujini huko dar es salaam....kijiwe chake maarufu ni pale falcon karibu na kidongo chekundu...amekuwa akigawa pesa katika majumba ya starehe na matamasha ya ma-bendi hususani za wa-congo.......ni wabishi-wa mujini huko dar es salaam...yeye deal yoyote anafanya ili mradi imuingizie pesa
 
Papaa Musofe, Akayesu, Christian Bella, Abdul Kali, Muzamir etc.

Ni pedeshee yupi mnamuongelea kati ya hao?? nimesikiliza wimbo nimetoka kapa.

nani ni ndama mutoto ya ng'ombe?
 
who the hell is ndama?? anahusika vip katika maisha ya kwaida ya mtanzania? ni mwanasiasa?

ukienda polisi kuna watu kibao wana kesi zingine za kubambikwa mbona hamleti habari zao humu?
 
habari nilizopokea sasa hivi kutoka kwa afisa mwandamizi wa polisi, Pedeshee mmoja Ndama mtoto wa Ng'ombe anashikiliwa na polisi kwa kuhusishwa na mali za wizi
hao mapedeshee wanajulikana ndio ma tapel wakubwa town na ndio majizi,na wanaoshiriki ujambazi kwakutaka maisha yastarehe kwa njia yamkato.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom