Yule mama anahusika moja kwa moja na kufeli kwa wingi waliomaliza form four, ilitakiwa aondoke tokea wakati ule wa sakata la Islamic Knowledge jibu lake amelitoa kwenye matokeo ya mitihani ya form four mwaka huu.
Inaonyesha kuwa hayuko peke yake, ni mtandao mpana unaochukua maagizo sehemu fulani afuatiliwe na kila kitu kiwekwe hadharani kama kweli kunatakikana suluhisho la kudumu kuhusu hili tatizo.