Ndala za kidoti Jokate

Angetengeneza chupi za kiume.
 
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi
 
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi

Kweli kabisa yani ukanyangwe !haina tafsiri nzuri kwenye ulimwengu wa roho
 
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi

Katika wenda wazimu ww ndio baba lao. chizi kabisa
 
na wewe buni chako acheni kudharau mawazo ya ujarimali ya watu wengine
 
Ujasiriamali ni kutafuta wapi zikipo fursa utaitumia big up jojo waache wauza sura waendelee kugombea waume zawatu na kununiana kisa kuhongwa magari.
 
Kwa nini watu tunafikia kujidharaulisha hivi jamani? Si angetengeneza hata kashati uchwara tu kuliko ndala za kwenda cho/msalani!!! Kama ni ujuha huu zaidi

Embu jifikirie kabla hujaandika comment, mawazo kila mtu anayo, kama wewe unakaa hovyo unashindwa kutoka na mawazo ya kibiashara waache wenzio wabuni mawazo, mbona ndala ni kitu cha kawaida sana, anachojaribu kufanya ni issue Kwenye biashara tunaita mechandise...beckham na umaarufu wake alitengeneza kondomu za kut0mbea sembuse jokate alietengeneza ndala za kike....wivu wa ajabu tu umekujaa kwa mawazo yako na watanzania wanaowaza kama wewe tutaendelea kuwa taifa duni sana, sio kiuchumi tu hata kifikra.
 
Mi jmn sina tatizo na hizo ndala tatizo langu n kwny ubetuaji wa midomo, iwe anatangza lzm abetue, iwe kukaa kawaida lzm ibetuliwe, km unaweza iona hii comment naomb utfute pozi lingne la midomo.
 
Haki ya nani lkn ndio akili mgando
Angafanya rihanna au jlo mngempa sifa kafanya mjasiria mali wa bongo kasha tele,wivu na unafki
Manyang'au wahead

Wabongo kwa hapo nawadharau sana, they are never appreciative at all...beckham alitengenezaga chupi na condom bado wakawa wanamtukuza kama nini...kisa mawazo yametoka kwa muafrika ndo wanaona ajabu, mijitu isiyowaza maendeleo utaijua tu, kukosoa vya wengine wakiwa hawajawahi kufanya hata kimoja basi cha kuonekana.
 
Mi jmn sina tatizo na hizo ndala tatizo langu n kwny ubetuaji wa midomo, iwe anatangza lzm abetue, iwe kukaa kawaida lzm ibetuliwe, km unaweza iona hii comment naomb utfute pozi lingne la midomo.

Ungekuwa Mwanaume ningesema una wivu wa kike!
 
Sioni ubaya ni ubunifu tu tena zitashobokewa kwa sababu zina sura yake ametumia fursa vizuri kidoti nakushauri kama unaweza kutengeneza pafume pia utamaliza mchezo.
 
Hongera zake. ....Atengeneze na vitu vingine pia ili mtu awe ni kuvaa full kidoti. Mfano. ..

Mavazi
Saa za mikononi.
Kofia
Miamvuli
Sun glasses
Lotion/perfumes etc

Keep it up gal
 
Hongera zake anatumia brand yake kabla haijaexpire sio wengine wakisha fulia ndo wanakumbuka niashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…