Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
Tusichokipenda ni kumuabudu mwanadamu anayetekeleza wajibu wake kwa kudhani kwamba anatoa hela mfukoni mwake , kitu ambacho si kweli hata chembe , huyu Masopakyindi nilishamuonya sana kuhusu huu ujinga wake lakini bahati mbaya haelewi tu .Hatupendi habari kama hizi
Mmojawapo ni Erythrocyte .Ziara ya magufuli imewaacha bavicha na vilio vikali sana.
Uongo utakusaidia nini ?Mmojawapo ni Erythrocyte .
Shauri yako.Uongo utakusaidia nini ?
Vipi unazungumziaje ziara ya Magufuli Mbeya mjini?Uongo utakusaidia nini ?
Ile bypass ni tiba tosha kabisa.Mkuu ana Mkakati gani wa Kuondoa Foleni Jijini Mbeya? Nipe japo dodoso maana wewe ni Kada Mtiifu mnajua hata ya Sirini, Juzi kwenye Kwenye Hotuba yake hapo CCM hakuliongelea kabisa zaidi ya Kuzungumzia ByPass itakayopita Sambamba na Tazama kupitia Ivumwe!
Una roho ya korosho.Tusichokipenda ni kumuabudu mwanadamu anayetekeleza wajibu wake kwa kudhani kwamba anatoa hela mfukoni mwake , kitu ambacho si kweli hata chembe , huyu Masopakyindi nilishamuonya sana kuhusu huu ujinga wake lakini bahati mbaya haelewi tu .
ali side na Mh Sugu baada ya kusoma alama za nyakati .Vipi unazungumziaje ziara ya Magufuli Mbeya mjini?
Mkuu hilo ni kweli kabisa, Mbeya bado ni ngome ya CCM.Ziara ya magufuli imewaacha bavicha na vilio vikali sana.
Watu wenye chuki wapo wengi sana huyo GUSSIE ni mshamba Fulani hivi.Punguza chuki na ukabila wewe,mbona wazungu magovi lakini wanakupa misaada na unatumia simu yao kuwaponda wanyakyusa,shut up u know.
Unakazaana kufifisha taa ya mwenzio.Kumbuka walijengewa barabara mbadara iliwaweze kupita wakati daraja kama la Mkapa MTO rufiji, daraja na umoja MTO ruvuma, daraja la mto malagalasi, na ujenzi Wa Barbara za lami kuunganisha makao makuu ya mikoa
Watu wenye roho ya korosho utawajua tu.Unakazaana kufifisha taa ya mwenzio.
Aione EthrLicha ya maneno maneno mengi, ati Magufuli hakanyagi Mbeya, na aidha Mbeya wanamchukia, ilikuwa uongo mtupu.
Waliokuwa na nia mbaya wameumbuka, Magufuli amefanya ziara yenye mafanikio na amepokewa na wananchi wengi sana haijapata kuonekana Mbeya.
Aione Erythrocytesbavicha mlisema jpm haipendi mbeya sasa ameamua kuhamia kabisa mbeya,wiki na nusu yuko mbeya kwa ziara ya mafanikio.
Hapana ilitakiwa pawe na Double road mkuu!Ile bypass ni tiba tosha kabisa.
Una roho ya korosho.
Binadamu ukitendewa mema ustaarabu ni kushukuru.
Sio roho ya korosho bali tunawapa uhalisia Wa trend za ujenzi Wa Barabara hapa nchini. Na kwa sasa kutokana na issue ya ziwa Nyasa, huo ukanda ni strategic zone.Watu wenye roho ya korosho utawajua tu.
Kwa hiyo wale marais walioahidi hizo barabara na hawakujenga walikuwa wanadanganya tu?Sio roho ya korosho bali tunawapa uhalisia Wa trend za ujenzi Wa Barabara hapa nchini. Na kwa sasa kutokana na issue ya ziwa Nyasa, huo ukanda ni strategic zone.
True , hii is just a matter of time.Hapana ilitakiwa pawe na Double road mkuu!
Ninavyojua ni Kuwa Population ya Mbeya kwa Vyombo vya Usafiri hata binadamu ni Kubwa Kuliko Moshi, Iringa na Pengine Hata Arusha, Lakini note huko wamewekew Double road.True , hii is just a matter of time.