PreGE2025 Nchimbi: Watia nia CCM tambueni uchaguzi siyo vita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi amewataka Wabunge wenye nia ya kugombea watambuane na yeyote atakayeshinda au kushindwa amuunge mkono mwenzake.

Dkt Nchimbi ameyasema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Nyamongo, Tarime Vijijini, aliposimama kuwasalimia.

“Katika maeneo yote niliyopita nigetamani kila Mbunge wa CCM aweze kumtaja Mtu ambaye anafikiri ni Mshindani wake na akisha mtaja aseme kwamba niko tayari kwenda na wewe kwenye uchaguzi, uchaguzi sio ugomvi”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…