PreGE2025 Nchimbi: Vijana msikubali kupotoshwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,765
Reaction score
2,878
Balozi Nchimbi Nyerere alionya vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa.

Ameeleza kuwa baba wa Taifa alitamani kuona taifa lina wasomi ambao watalitumikia taifa.

"Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa Tanzania, vijana wawe na tija kwa taifa, vijana wasiwe mzigo kwa Taifa" Dr. Emanuel Nchimbi, Katibu mkuu CCM
Your browser is not able to display this video.
 
"Ndiyo maana baba wa Taifa alisema vijana wa Tanzania wasikubali kupotoshwa, vijana wa Tanzania wasikubali kupotezwa, vijana wa Tanzania, vijana wawe na tija kwa taifa, vijana wasiwe mzigo kwa Taifa" Dr. Emanuel Nchimbi, Katibu mkuu CCM
Aache ujinga wake
 
Sawa tumekubali, fahamu hamtatupotosha ng'oo!

Lukasi, Tlaa'tlaah na Ile mijamaa ya g-55, au nasema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…