Nchimbi, Samia na Ndejembi lao moja

Father of All

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2026
Posts
260
Reaction score
475

Naona ni kama hawa wanatucheza au kutuosha.
Sioni jipya wala la maana.
Kila kitu kimefanyika kiCCMCCM.
Wananchi wajiepushe kuingia mtego wa karata tatu.
Wote ni wasanii na wananchi ni walengwa.
Ni suala la kutumia akili. Ukimuona mbwa, jua kuna mwenyewe.
Sijui Ndejembi nimuite nani na nini.
Ni mwenye au mwenye kumilkiwa?
Sijui nisemeje. Anatumika, kutumia, au kujitumia.
Sijui kama anajua anachojua kama apaswavyo. kujua.
Sijui. Samia hajui. Ndejembi hajui. CCM haijui.
Tanzania haijui.
Nani anajua?
Sijui japo napaswa kujua.
Wote tunapaswa kujua.
Je, tunajua?
Lini tutajua?
Tukijua, tutajua lipi?
Je, watatucheza au sisi kuwacheza?
Je, twayajua machezo?
Heri tujue hata kama wao wanajua ila hawataki kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…