Nchi zinazotegemea mafuta hali yazidi kuwa ngumu

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
Mojawapo ya nchi zilizoathirika sana ni Venezuela pamoja na upungufu wa bidhaa. Pia thamani ya hela imeshuka sana kupelekea Hata shirika la ndege Ujerumani kutangaza kuvunja safari za ndege nchini humo.

The German airline, Lufthansa, has announced that it will suspend flights to Venezuela from 18 June due to economic difficulties in the country.

The company also said currency controls in Venezuela made it impossible for airlines to convert their earnings into dollars and send the money abroad.

Venezuela's economy has been hit hard by a sharp drop in the price of oil - the country's main source of income.

Venezuela has high inflation and severe shortages of basic goods.

In a statement, Lufthansa said that it "will be forced to suspend our service between Caracas and Frankfurt as of 18 June".
 
Unajuwa hii inaumiza nchi kama hizo na Nigeria ambazo operating cost ni zaidi ya dola 25 mpaka 35 nchi kama Saudia oparating cost iko chini sana kama dola 7 so they don't care much lengo lao ni kuwaumiza maadui zao ili wa keep shara ya soko lao. Siku wakikubaliana utaona bei inapanda kwa sasa hata dola 20 they still make profit ila watapunguza matumizi yao tu. Keep in mind nchi nyingi walipanga budget zao kwa dola 50 kwa pipa ziada ya hapo ni surplus.
 
Nigeria anaisoma number, unit cost ya kuzalisha ni kubwa kiasi akiuza kwa bei ya Saudi anaingia lose, fedha yake imeshuka thamani kiasi sasa Bukhari anafikiri Mara mbili mbili kutumia US$ ili kumaintain uchumi wake na accommodation of balance of trade/payment
 
Yote haya amesababisha Lowasa

Mwasita Moja;
Kweli kuna wakati haturuhusiwi kumuuliza Muumba lolote ila; Nimejikuta nikimuuliza, Huyu Mwasita naye ulimuumba au alichipuka tu kutoka udongoni?
Hivi kweli, umekosa cha kuandika humu hadi umtaje Lowasa kwenye thread hii? Alisababishaje bei ya mafuta kuyumba? Kuna mafuta kule Monduli? Umesikia ni mafuta ya maziwa (Jibini)? Tuwaheshimu watu tu, hata kama ni kwa umri wao. Heshimuni wazee hata kama ni mbwa koko mheshimu tu. Mungu hajakosea kumtanguliza kwetu.
 
Back
Top Bottom