Nchi zinazokuwa na uchumi mkubwa sana dunia kutoka 2020-2100 Tanzania G20

mk4

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
285
328
Nimeangalia hii video inayotabiri uchumi wa dunia baada ya miaka 2100 nimekuja kushangaa Tanzania ipo kwny top 20 dunia
Nchi za afrika zilizokuwepo ni nigeria,Ethiopia na Tanzania tu
Tanzania itakuwa ya 16 dunia kwa uchumi mkubwa dunia mpaka 2100
Maana na sisi tutakuwa kwny G20
Angalie hii video mpaka mwisho utaona hii kitu
Hii video ipo vizur kwny kutabiri uchumi wa dunia coz ndio ina view nyingi kuliko video yoyote inayoelezea uchumi unao kuja


View attachment 1363621

Mwisho wa hii video wanaonesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Em weka iyo list maana bongo sijaiona bado wala iyo Ethiopia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia hii video inayotabiri uchumi wa dunia baada ya miaka 2100 nimekuja kushangaa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya miaka 2100? Yaani baada ya milenia mbili na Karne moja?

Japo baadaye uliandika baada ya mwaka 2100, nimeandika haya kukumbushana juu ya matumizi sahihi ya kiswahili.
 
Tz we are not consistent in many things we do. Hata yaliyo mazuri tunayatupa njiani.
 
Dah...usikute ndiyo sababu ya kutengenezwa Corona


Sent using Beretta ARX 160
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…