unadaiwa kama million 1Mradi unaishi mikopo ya jirani yako isikufanye ukose usingizi.
Watajua wao waliokopa
Macho yako yana shida.. Ulichoandika kuhusu Angola sio sahihiAngola inaidai Tanzania kiasi Cha Trillion 12.5 Kwa mnaofahamu mnisaidie hapa.
Tulikopanini kwa Angola wataalam?
View attachment 1830839