Nchi zinazoendelea hutoa tiba kwa 30% ya watoto wenye saratani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,878
Shirika la Afya Duniani (WHO) imekadiria watoto 400,000 wa chini ya miaka 19 kila mwaka hupata saratani duniani. Nchi za kipato cha juu hutibu 80% ya watoto, na nchi za kipato cha chini na kati hutibu 30% ya Watoto

Saratani nyingi za Watoto zinaweza kutibika hata hivyo nchi za kipato cha kati na cha chini zina 29% ya dawa zinazohitajika ambapo nchi za kipato cha juu zina 96% ya dawa kwa ajili ya watu wao

Vifo vya Watoto wenye saratani hutokea kwa kushindwa kutambua saratani, kuchelewa kuitambua, kushindwa kupata huduma na kutozingatia matibabu
===
Each year, an estimated 400 000 children and adolescents of 0-19 years old develop cancer. [1, 2]

The most common types of childhood cancers include leukemias, brain cancers, lymphomas and solid tumours, such as neuroblastoma and Wilms tumours. [1,2]

In high-income countries, where comprehensive services are generally accessible, more than 80% of children with cancer are cured. In low- and middle-income countries (LMICs), less than 30% are cured. [2,3]

Childhood cancer cannot generally be prevented or identified through screening.

Most childhood cancers can be cured with generic medicines and other forms of treatment, including surgery and radiotherapy. Treatment of childhood cancer can be cost-effective in all income settings. [2]

Avoidable deaths from childhood cancers in LMICs result from lack of diagnosis, misdiagnosis or delayed diagnosis, obstacles to accessing care, abandonment of treatment, death from toxicity, and relapse. [2,3]

Only 29% of low-income countries report that cancer medicines are generally available to their populations compared to 96% of high-income countries. [4]

Childhood cancer data systems are needed to drive continuous improvements in the quality of care, and to inform policy decisions.
 
Back
Top Bottom