Nchi zenye Amani zaidi duniani

Nashangaa Tanzania haimo japokuwa tunaaminishwa hivyo kwenye majukwaa ya kisiasa
 
Nchi zote hizi zinatawaliwa kifalme yaani kiongozi ni huyohuyo hadi afe na akifa anatawala mwanae, isipokuwa canada ambayo bado ni koloni la uingereza, nasisi sijui tumtawaze makongoro nyerere awe mfalme tu tuachane na hizi siasa za kugombania ikulu.
 
Back
Top Bottom