Phd Hewa
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 572
- 466
Kama Leo Wabunge Wanatukana Bungeni Japo Sina Uhakika wa Matusi yenyewe Tujiulize kwa nini au ni Sababu Gani Iliyosababisha Mpaka Mbunge au Wabunge wa Upinzani Wanafikia Kutukana?
Pili Naomba Maana ya Matusi Aliyotukana Alima Mdee na Freeman Mbowe Mana Nimesoma Habari ya Kuwa Leo Wanahitajika Kwenye Kamati ya Maadili Bungeni Kujibu Tuhuma za Kumtukana Spika wa Bunge La JMT,
Kumbe Bungeni Kuna Kamati ya Maadili kwa Viongozi?
Au Ililala Leo Ndiyo Imeamshwa?
Ombi wakionywa Akina Mdee Aje na Yule Mtoto wa Mfalme Aliyesema Wabunge Wanalala tu Bungeni
na Akasema Wengine ni Wachekeshaji tu Pale Bungeni Tena Iwe Mubashara Wanachi Tuone
Moto Unaanza Moshi Baadeye Unawaka Tafadhali Tusifikie Huko Mungu Tunusuru.