Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.

mkuu nonsense kusema ukweli ,kwani uongo wanzibari hawalamiki ?wewe uko nchi gani hii ni fact na ndo maana kuna kero za muungano na zinatumbulika na sisi kama part ya muungano lazima tuargue banawhy do u people waste ur time with nonsense!?? Sio lazima kuanzisha thread humu kama huna lakusema.
kama ni usawa kwenye revenue kwa kweli wasahau watapata kwa proportionality tu not otherwise hakuna haja ya kufavourana hapa so what? Usawa wa kisiasa huo wanao tena nadhani unaona wanvyotamba huku tanganyikakwani muliambiwa mtarudi nyuma ? Lengo ni kuwa sawa na sio kuwaonea walio kidogo...
Tanganyika iko, waliojaribu kuiua hawapo so T'nyika itarudi pahala pake.
Miss Judith anasema anaijua Tz lakini haijui T'nyika. Ni kutojua historia, ajaribu kujifunza na kujisomea zaidi.
Angalia eti suala la Muugnano kwenye muswada tata wa kutunga sheria ya Katiba mpya halitakiwa kujadiliwa kabisa. Kuna ujing zaidi ya huo? Watu wanalazimisha mambo, uongo wao umekuwa bayana kama jua hawana pa kujificha tena lakini wanatumia nguvu uchwara eti suala la 'muungano' sic ni nyeti sana.
Kama WaTz watataka kuendelea na ushirikiano, nchi mbili hizi lazima zichagua mambo zitakayoshirikiana na mfumo wa kuendesha shirikisho lao. Nasema shirkisho makusudi kwa sababu ndio njia pekee sahihi kwenda mbele.