Hapana, kupungua kwa speed hiyo ndio lengo la bango kwa gari linalopita sehemu hiyo wakimaanisha hiyo ni maximum speed gari linakuwa aliko kwenye hatari ya kupata au kusababisha ajali kwa watumiaji wengine wa barabara!45, Isizidi wala kupungua ni shidaa![]()