Nchi ya Vyeti vya Kuunga Unga: Uongozi Bila Kigezo

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
13,645
Reaction score
28,811
Hangaya anapenda sana kujizunguka na watu wenye elimu za kuunga unga kama yeye. Ukiangalia walioko karibu naye, utajua tu kwamba nchi hii haipo serious hata kidogo.

Mwanasheria Mkuu Hamza Johari, kasoma bachelor's na master's Ukraine huko — hiyo inatosha kukuonyesha kila kitu unachohitaji kujua. Kadhalika hajawahi kuwa wakili nchini ila bado kawa AG.

Gavana wa BOT, Emmanuel Tutuba, kasoma Advance Diploma na MBA Mzumbe. JPM alimpa nafasi ya kuwa RAS Mwanza, halafu Hangaya akamchukua moja kwa moja kutoka uRAS hadi kuwa Gavana wa Benki Kuu. Wakati magavana wa nchi nyingine wanatoka IMF na World Bank, wetu anatoka ofisi ya RAS Mwanza. Ni dhahiri kabisa hapa hatuzingatii vigezo wala hadhi ya nafasi.

Halafu kuna Jenista Mhagama — aliteuliwa kuwa Waziri wa Afya wakati ana stashahada ya ualimu. Wote tunakumbuka aibu aliyoleta UN, alipokuwa amezungukwa na mawaziri wa afya waliobobea kwenye taaluma zao. Ilikuwa fedheha tupu.

Hangaya mwenyewe hana hata rekodi ya elimu inayoeleweka. Ni diploma za kuunga unga tu ambazo hazina uthibitisho wowote. Hii nchi imepoteza mwelekeo kabisa — tumepigwa na kitu kizito chenye ncha kali, na bado tupo tu tumeziba macho.

Sitashangaa Bashite akipewa uwaziri wa fedha au mambo ya nje.
 
Bashite ni waziri wa mambo ya ndani. Tutakoma!

IMG-20251104-WA0054.jpg
 
Taasisi kama BOT haipaswi kufanyiwa siasa hata kidogo. Inahitaji mchumi mwenye record inayojisemea yenyewe!
 
Si anaitwa daktari jamani? Tumuongezee cheo cha profesa wa kumwaga damu. Na ikibidi aitwe mtume kama siyo Jibril mtoa roho.
 
Back
Top Bottom