nilidhani JK wetu anapenda burudani kuliko wote EAC, turns out i was wrong.
There were 9 East African presidents at the show that night; Tanzanian President Jakaya Kikwete and Kenyan President Uhuru Kenyatta were among the presidents at the show.
Dude, you are still right.
Hapa nadhani alihudhuria kwa ajili ya Shoo ya Davido tu.
Matukio mengine ya Kinyarwanda si alikuwa haudhurii anatuma mwakilishi?
Duh! bwana Jmali yani utapinga kilakitu afanyacho pk,angempokea na kumtia mahabusu au kumfukuza mungekua mnaongea mengine eti ni dikteta,sasa kapokea mwanamziki eti ni mbabaikaji ahahahaha kweli sizitaki mbichi hizi.........JK sio mshamba wa wasanii, huyo davido kwetu alishakuja siku nyingi tu na haikuwa ishu. na kukuongezea tu kwetu washakuja 50cent, jayZ na beyonce, ....Huko kwenye kanchi kenu saizi ya wilaya wakija hawa Rais wenu atatangaza siku tatu za mapumziko hahaha..
Duh! bwana Jmali yani utapinga kilakitu afanyacho pk,angempokea na kumtia mahabusu au kumfukuza mungekua mnaongea mengine eti ni dikteta,sasa kapokea mwanamziki eti ni mbabaikaji ahahahaha kweli sizitaki mbichi hizi.........
Mbona hujauliza pesa anazotoa kwa Kagame CECAFA cup?ahahaha jk yeye anafunga safari kutoka DAR kwenda kumuangalia R-kelly na SNOOP DOGDOG afathali yeye Davido kaja kuwaburudisha wanyarwanda.kutumia fedha za kodi kwenda kumpokea davido we unaona ni sawa? Hata rais wetu anapenda wasanii lakini lazima ukubali hapa Kagame kachemka. seriously, wananchi mnapata tabu ya foleni barabarani, rais anapita na ving'ora "nyauuu nyauuu nyauuuu", mnajua yes, kichwa kinaenda kufanya shughuli za maana, kumbe mwenzenu anakwenda kumpokea Davido? seriously hata hili nalo mnaona sawa? you guys need help!!
Mbona hujauliza pesa anazotoa kwa Kagame CECAFA cup?ahahaha jk yeye anafunga safari kutoka DAR kwenda kumuangalia R-kelly na SNOOP DOGDOG afathali yeye Davido kaja kuwaburudisha wanyarwanda.
Sasa umejibu nini? matusi hayawezi geuza ukweli,mimi muungwana siwe kukujibu kwa matusi kama ulivyofanya.hahaha, sasa naona umeingia kwenye straight lunacy! wewe ni zaidi ya mzee dimwit murutongore.
Sasa umejibu nini? matusi hayawezi geuza ukweli,mimi muungwana siwe kukujibu kwa matusi kama ulivyofanya.
ahahahahahah acha nikuache tusije kosa hizo porojo zako humu jf.lunatic sio tusi ni neno stahiki kwa mtu kama wewe unayedanganya bila haya hebu weka link hapa ni lini JK kaenda kumuona rkelly na snoop. ukithibitisha hili kwa heshima yako nitajilipua humu jf na kukuomba radhi with my full real id! ukishindwa basi kubali tu niliyosema kiungwana
ahahahahahah acha nikuache tusije kosa hizo porojo zako humu jf.