Tz boy 4tino JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 1,598 Reaction score 1,829 May 1, 2020 #1 Kwa wale wenye taarifa juu ya nchi ya Burkina Faso, nimevutiwa sana na historia ya kiongozi Wa hapo awali Thomas Sankara. Mwenye ujuzi wa mambo yalivyo sasa naomba a share na sisi
Kwa wale wenye taarifa juu ya nchi ya Burkina Faso, nimevutiwa sana na historia ya kiongozi Wa hapo awali Thomas Sankara. Mwenye ujuzi wa mambo yalivyo sasa naomba a share na sisi
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,747 Reaction score 24,524 May 1, 2020 #2 Unataka maelezo ya mambo yapi hasa? Uchumi? Siasa?
Tz boy 4tino JF-Expert Member Joined Sep 14, 2014 Posts 1,598 Reaction score 1,829 May 1, 2020 Thread starter #3 aise said: Unataka maelezo ya mambo yapi hasa? Uchumi? Siasa? Click to expand... Uchumi, siasa vyote kwa ujumla.
aise said: Unataka maelezo ya mambo yapi hasa? Uchumi? Siasa? Click to expand... Uchumi, siasa vyote kwa ujumla.
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,676 May 1, 2020 #4 Upper Volta
Masamila JF-Expert Member Joined Jun 22, 2014 Posts 6,507 Reaction score 7,475 May 1, 2020 #5 Ni mojawapo ya nchi masikini sana duniani tena inapatikana jangwani jangwani huko Wanategemea kula nafaka duni kama sorghum , zao la kibiashara ni pamba ,wanajulikana duniani kwa kulima pamba
Ni mojawapo ya nchi masikini sana duniani tena inapatikana jangwani jangwani huko Wanategemea kula nafaka duni kama sorghum , zao la kibiashara ni pamba ,wanajulikana duniani kwa kulima pamba