Acha kulaghai watu serikali inamtafuta mwekezaji atakayejenga kwa hela zake then utumike utaratibu wa Build-Operate-Transfer (BOT). Mlijinasibu kujenga kwa hela zawananchi leo hii mmeshindwa, mmepiga U-turn. Oneni aibu basi hata mnapotaka kupindisha ukweli ulio wazi.