Nchi Sasa Imefilisika.

Isitoshe Mkuu, hata wastaafu pia hela zao hawalipwi, vijana nao hawaajiriwi, mikopo shuleni hamna.
 

Mkuu, hata kama hiyo pesa ya barabara ya Chalinze inatoka wapi, kwani anayenufaika ni nani si ni watanzania sisi jamani..!!
Stahiki za watumishi si zinalipwa kwa awamu baada kuhakiki kama ni AUTHENTIC. yaani wewe ulitaka pesa ilipwe tuu kiholela wakati hizi ni zama za wafanyakazi hewa.? yaani turudie makosa yale yale sio.?
Hiyo hali ya uchumi unayozungumza wewe ni ipi, wakati Waziri Mpango keshasema hali ya uchumi ni nzuri, au na wewe una wizara yako.? basi tuwekee hapa takwimu ya hali ya uchumi kwa mujibu wa ofisi yako.
Baa la njaa hilo ni janga la asili, au na lenyewe limesababishwa na serikali.?

Kukopa ni jambo la kawaida, unless hujui uchumi wa dunia unaendeshwa vipi. na ukiona tunakopa, ujue kama nchi bado tuna sifa ya kukopesheka.

Cha kuzingatia hapa ni kwamba, sisi ndio tunachagua nani atukopeshe, maana kuna wengine wapo tayari kutukopesha hata leo, ila hatutaki kwa sababu mikopo yao ina masharti magumu. mbona hivi ni vitu simpo kabisa na havihitaji kula ugali mgumu kuvielewa jamani, mnatumia nguvu nyingi mno kuilewa serikali ya JPM ndio maana mnalalamika kila siku, just be simpo dear brothers.
 
Mbona tunakwisha jamani, Ee Mungu Baba ingilia kati
 
Lizabon mpuuzi sana,utetea hata ujinga,wafanyakaz hawajaongezewa mshara wala kupandishwa daraja kwa kisingzio cha uhakiki na toka wazunguke tanzania nzma hawajaleta mrejesho kama wamekamilisha/malizau la zaid ya kutoa matamko,hv lizaboni hujapewa mpaka lei hata uras?
 
Zile milion 50 za kila kijiji zipo wap? Mbona wanafunzi hawapewi mikopo?ajira, tuwe na jicho la tatu
 
Zile milion 50 za kila kijiji zipo wap? Mbona wanafunzi hawapewi mikopo?ajira, tuwe na jicho la tatu

ha ha haaa.! Tanzania kwa kweli kazi ipo. kama upeo wetu wa kufikiri ndio huu, bora JPM aongeze ubabe tukae sawa, nahisi anatudekeza sana ndio maana hata kufikiria kwetu ni tabu.

anyways, JPM ana miaka 5, ndo kwanza kabakiza mi 3 na miezi kama 10 hivi. wasiwasi wako nini, hizo mil 50 utapewa tuu, tulia mkuu.

Umewauliza wanafunzi waliopo vyuoni sa'hv wakakuambia hawana mkopo.? au unazungumzia wale waliokosa sifa.? mkopo anapewa mwenye sifa.

Ajira subiri utaajiriwa tuu kama una sifa na kama nafasi zipo. usitake kulazimisha mambo yafanyike kwa kufuata matamanio yako wakati wewe huna mamlaka.

Ndio maana ukawa hapo ulipo, na wengine wakawa huko walipo, tunagawana majukumu mkuu.
 
Hua nasikia et ukwel una tabia ya kujilipiza kisasi, ngoja nipuuzie contents za hii thread nione km utanirudia
 
Vip na ile misaada ya kagera mmepele Mmepeleka wap,
 
ADF=?
ADB=?
IDA=?
IBRD=?
 

Haya mkuu, tumeshaona aibu tayari. yameisha sio.?
Vip na ile misaada ya kagera
mmepele
Mmepeleka wap,

Jamani, ifike sehemu basi na nyie muwe mnaona aibu, sasa kila siku mnauliza swali hilohilo tu jamani.? mnataka kukariri jibu kwa ajiri ya mtihani.? Mwl kawaambia mtaulizwa kwenye Civics au.? Hili swali limeshajibiwa zaidi ya mara 1000, jaribu kuangalia kwenye Vitabu vya Nyangwine, Pamphlets, Reviews zile za NECTA kote huko tumeshalijibu hili swali.

Ongezea na Clip ya juzi JPM alipohutubia kagera, kama ukifeli mtihani, basi we ni kilaza*1000
 
Wazee wetu wanajifia kwa bp kiinua mgongo HAKUNA.
 
Ni kutojua tu ndo kunakufanya usijue maana ya kufilisika kwa Serikali. Kama unasubiria ishindwe kulipa mpaka mishahara ya watumishi ndo uamini! Ikifikia kushindwa kulipa watumishi wake ujue uhai wa Swrikali hiyo ni karibu ya kaburi lake.
 
Vip kuhusu wastaafu kutolipwa hela ya kustaafu, kula kona mzee usinipotezee Muda
 
Mkuu unafahamu kwamba LIBOR imepanda?
LIBOR=?
Mkuu,samahani ningependa unisaidie kuelewa!
B.O.T=?
Waweza Kuilezea Vizuri!
 
Watumishi wanadai stahiki kibao wala haijulikani watalipwa lini alafu wewe unaleta ngonjera zako hapa.
Wamekwambia lini kuwa wanadai stahiki zao kibao????

Aidha, kudai hizo stahiki au madai kama hayo yameanza leo ili tuone kama ni kweli serikali inefilisika????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…