Mkuu unafahamu kwamba LIBOR imepanda?Mkuu Nchi inapoomba mkopo, kitu kimoja kinachoangaliwa na Banks/Financial Institutions ni Current Economic Status ya nchi husika.
Tanzania kwa sasa deni letu lina approach 50Tril.
Hakuna Institution inayoweza ku risk kukopesha Nchi ya namna hii.
Ndio maana unaishiwa kupewa ma interest rate makubwa, utapewa muda mfupi wa kulipa huo mkopo etc Etc. Hiyo yote kukudiscourage usepe ukakope kwingine.
Ingia kwenye mtandao wa IMF labda unaweza kupata kitu. Sasa hivi nasikia Tanzania tumeingia kwenye window ya ADF baada ya ku graduate kutoka ADB. Pia kwa upande wa WB tumepanda kutoka IDA na kwenda IBRD. Maana yake ni kwamba tunaweza kukopesheka zaidi.
3. Hazina hakuna mishahara ya miezi 2,hela inasanywa ndi0 ilipwe.1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika
Haha nmeipenda hiyo "malipo ni hapa hapa duniani, mbinguni mahesabu tu.Halafu mbaya kuliko baada ya kuwadhulumu bila aibu mtu anafunga safari kwenda kuwakejeli watu aliowadhulumu huku wakiwa katika hali mbaya. Dhambi sana! Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu!
Ingia kwenye mtandao wa IMF labda unaweza kupata kitu. Sasa hivi nasikia Tanzania tumeingia kwenye window ya ADF baada ya ku graduate kutoka ADB. Pia kwa upande wa WB tumepanda kutoka IDA na kwenda IBRD. Maana yake ni kwamba tunaweza kukopesheka zaidi.
Ingia kwenye mtandao wa IMF labda unaweza kupata kitu. Sasa hivi nasikia Tanzania tumeingia kwenye window ya ADF baada ya ku graduate kutoka ADB. Pia kwa upande wa WB tumepanda kutoka IDA na kwenda IBRD. Maana yake ni kwamba tunaweza kukopesheka zaidi.
Binafsi sisapoti kukopa. Napenda tutumie utajiri wetu kujiletea maendeleo. Nilichokisema ni kwamba nchi inakopeshekaYaani kukopesheka zaidi sio kujitegemea?.
Bado nakumbuka hotuba iliyosema Tanzania ni Tajiri na inaweza kukopesha hata nchi za ulaya.
Huyo sio mnafiki ni mjinga.Kvp uwakabidhi kwa police? Hii Tanzania ndo nchi inayoongoza kuwa na wanafiki wengi duniani huyu jamaa ni mnafiki
Mi siifikirii hotuba zaidi namfikiria aliyesema hayo maneno, is he mentally fit?Yaani kukopesheka zaidi sio kujitegemea?.
Bado nakumbuka hotuba iliyosema Tanzania ni Tajiri na inaweza kukopesha hata nchi za ulaya.
Utajiri gani mkuu?kama serikali inalipa mishahara kwa wafanyakazi wa serikali tu kwa almost bilioni 550 kwa mwezi na sisi tunakusanya almost bil 1000 kwa mwezi(na hii figure ya bil 1000 watu bado wanabisha kwamba siyo kweli ni pungufu ya hapo) Unadhani miujiza gani itatokea hapo ku survive kwa hiyo bil 450 inayobaki mkuu?Binafsi sisapoti kukopa. Napenda tutumie utajiri wetu kujiletea maendeleo. Nilichokisema ni kwamba nchi inakopesheka
1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
You need to be impartial yani usiwe unaegemea upande wowote...!Barbara ya Chalinze unafahamu pesa imetoka wapi...?je stahiki za watumishi ziko wapi yani malimbikizo ya mishahara na allowance zao....?je unafahamu hali ya uchumi wa nchi kwa sasa ukilinganisha na mwaka Jana........?je baa la njaa inayolinyemelea taifa kwa sasa serikali ikisema haina mpango kugawa chakula cha msaada....?au lands utakuwa umeamka usingizini.....?to be impartial is very dangerous utajikuta unaumiza hata ndugu zako pasipo wewe kujua.1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika
1-Nchi imeshindwa kuajiri watumishi wa kada mbalimbali tofauti na utaratibu uliokuwapo sababu cjui..!1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika
Wewe ulisha ona tajiri anaomba mkopo?
Ukiona tajiri anaomba mkopo maana yake ni nini?
Barabara ya chalinze dar inajengwa kwa msaada.
Mapato yote ya serikal sasa yanaishia kulipa mishahara. Yani hand to mouth. Ukiona unachokipata unaishia kula kesho hujui utakula nini. Hii ndyo hali tz iliyonayo xx
Bure wewe!1. Barabara ya Dar Chalinze zabuni imetangazwa ili ujenzi uanze. Serikali imefilisika.
2. Serikali imeagiza ndege nne zaidi ambapo malipo ya awali ya ununuzi yameshalipwa. Serikali imefilisika
3. Watumishi wa umma wanalipwa mishahara kwa wakati. Serikali imefilisika