Nchi Sasa Imefilisika.

Wafanyabiashara wakubwa wameanza kuhamisha biashara zao , hivi unawezaje kufanya biashara katika nchi iliyoishiwa ?

Bado Dangote tu ( inasemekana naye mguu ndani mguu nje ) .

Tuombe Mungu tu .
 
Hivi nini kimepelekea michango iliyochangwa kwaajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi kule Kagera kugeuzwa kuwa mali ya serikali wakati watu waliwachangia wananchi walioathirika na siyo serikali. Serikali ilihimiza watu kuchangia waathirika na siyo yenyewe. What has happened? Huku sio kujichumia laana ya kujitakia?
 
Mangapi serikali imeshindwa kutimiza mpaka sasa ..ajira?..mikopo kwa wanafunzi wengi wamenyimwa na ni masikini wa kutupwa! Kupanda madaraja kwa watumishi na mengineyo
 
Mkuu hujakosea..
Huko ni kuchuma laana na ni one symptom ya serikali hii Kufilisika.
 
Linahimilika kipindi lipo chini ya trillion 30.
Ingia kwenye mtandao wa IMF labda unaweza kupata kitu. Sasa hivi nasikia Tanzania tumeingia kwenye window ya ADF baada ya ku graduate kutoka ADB. Pia kwa upande wa WB tumepanda kutoka IDA na kwenda IBRD. Maana yake ni kwamba tunaweza kukopesheka zaidi.
 
Mkuu hujakosea..
Huko ni kuchuma laana na ni one symptom ya serikali hii Kufilisika.
Halafu mbaya kuliko baada ya kuwadhulumu bila aibu mtu anafunga safari kwenda kuwakejeli watu aliowadhulumu huku wakiwa katika hali mbaya. Dhambi sana! Malipo ni hapa hapa duniani mbinguni ni mahesabu tu!
 
Serikali hailipi na haina uwezo wa kulipa maddeni ya ndani, tuliofanya kazi za serikali kwa hela yetu tunaomboleza
 
Akijibu hili namwaga hii Heineken yangu hapa mezani , nimepiga funda moja tu .
 
Mkuu Nchi inapoomba mkopo, kitu kimoja kinachoangaliwa na Banks/Financial Institutions ni Current Economic Status ya nchi husika.
Tanzania kwa sasa deni letu lina approach 50Tril.
Hakuna Institution inayoweza ku risk kukopesha Nchi ya namna hii.
Ndio maana unaishiwa kupewa ma interest rate makubwa, utapewa muda mfupi wa kulipa huo mkopo etc Etc. Hiyo yote kukudiscourage usepe ukakope kwingine.
 
Kuweka kumbukumbu vizuri, haya yote yametokea Lema akiwa ndani hivyo asije tokea mtu kumsingizia kuwa ndiye kasababisha!
Halafu jamaa alijiotea ndoto yake masikini kosa tu aliisimulia.
 
Ningekuwa Max, watu kama wewe nawakabidhi kwa jeshi la polisi bila hata ya kujiuliza.
Kvp uwakabidhi kwa police? Hii Tanzania ndo nchi inayoongoza kuwa na wanafiki wengi duniani huyu jamaa ni mnafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…