nchi kuwekewa vikwazo kuna athari gani?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
habari wanajamvi,
siku nyingi nimesikia kuwa kuna baadhi ya nchi zimewekewa vikwazo eidha vya kiuchumi au vya kisiasa,mfano iran,north korea,cuba nk,ninachojiuliza ni kuwa hivi vikwazo vina athari gani kwa nchi husika?nikiiangalia north korea pamoja na vikwazo lakini bado wako vizuri kiuchumi na kijeshi,iran hali kadhalika.
 
Mimi naona nchi kama hizo zikiwekewa vikwazo athari ni ndogo kuliko nchi ambayo haiwezi hata kutengeneza Sindano ya nguo ...like Zimbabwe....athari zake kubwa ni za kiuchumi....mzunguko wa Pesa huwa ni mdogo.
 
Back
Top Bottom