Nchi "imetekwa" Tuamke.

Heche

Member
Joined
Dec 10, 2025
Posts
44
Reaction score
105
Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.

Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye sebure za ikulu zetu kilasiku.

1. Alianza Mpango akatolewa akaambiwa kaa kimya.
2. Majaliwa kasimu akaambiwa asigombee akae kimya.
3. Simbachawene, Tulia aksoni, Ndugai, Lukuvi, Akina Biteko na wote wamenyamazishwa.
4. Polepole, Magufuli, Lukuvi walitumiwa kujenga mfumo baadae wakatoka kwenye vifo tata kabisa.
Kama wote wenye akili wametulizwa tuli. Rungu wakaachiwa akina. Mwigulu na Makonda nao wanaaminishwa makubwa lkn wakiwamaliza wenzao ndio basi tena na wao wanapitishwa njia ile ile.

Tulia aliifanyia nini CCM na sasa yuko wapi?

Ni wakati wa wanaCCM kuamka usingizini NCHI NI KAMA INATEKWA KIMYA KIMYA HII.
 
Kwenye hio list mtoe mbowe ili bandiko lako liwe na fact
 
Ccm mkumbo hawaelewi yapo tu kama mazumbukuku yanavutwa tu na yanashangilia hayajui hata kesho ya watoto wao itakuwaje
 
Tulubali tu tuna kiongozi wa hovyo toka kuundwa kwa taiga la Tanganiyika na Tanzania. Tuna worst regime ever, akili kubwa haziwezi kufanya kazi na mediocre!
Ccm wapo kichama zaidi suo kitaifa zaidi na wapo na sera ile ile ya nyerere zidumu fikra za mwenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…