na li ccm bado linapendwa tu.kweli hiki ndiyo kipimo cha ujinga, unajua nimesoma kuwa kilimanjaro inaongoza kwa mambo fulani ya elimu ila pia hawa majamaa ni wajanja maana wameelimika hata wabibi kule wanakuambia nchi hii haijapata mtu wa kuiongoza.maji,umeme,barabara nzuri,mashule na mahospitali pamoja na mawasiliano vilikuwepo siku nyingi lakini angalia baadhi ya maeneo mengi ccm hawapati maana bado watu wanataka maisha bora zaidi.tujifunze.