Kweli sikupoteza kura yangu bureeee ! Kamanda mkuu na makamanda mnafurahisha , hapa kazi tu !Ukawa hawapendi kabisa kuona picha kama hizi,zinafifiza juhudi zao za kutuletea machafuko eti kwa kua wamenyimwa kuonekana live kwenye tv
Ficha upum**baf wakokweli li-inchi likikarbia kuisha,na maiti anakuwa mtawala
Sakata la Zanzibar na issue ya bunge kukatazwa kurushwa live inaonyesha wazi Pombe anaendekeza siasa yani ana akili sawa na Nape.namuona Magu kama hapendi siasa itawale kwenye maamuzi mengi .
Busara na ustaraabu vingetumika kumtangaza Maalim Seif aliyeshinda Zanzibar mngekuwa mmetunza vizuri huo husia wa huyo babu yenu.Amani,busara,udugu,kuvumiliana na ustarabu iliumbwa kwaajili ya Tanzania peke ndio makusudi ya mungu ili tuwasuluhulishe wenzetu waige mfano wetu,maana babu yetu alituasa tuitunze mpaka mwisho wa dunia
Ndio kelele zenu mnapigia humo ukawa.tokea mpige teke sera ya ufisadi,,mmekua kama fisi mnavizia matukio mtengeneze habariSakata la Zanzibar na issue ya bunge kukatazwa kurushwa live inaonyesha wazi Pombe anaendekeza siasa yani ana akili sawa na Nape.
Busara na ustaraabu vingetumika kumtangaza Maalim Seif aliyeshinda Zanzibar mngekuwa mmetunza vizuri huo husia wa huyo babu yenu.
Busara na ustaraabu vingetumika kumtangaza Maalim Seif aliyeshinda Zanzibar mngekuwa mmetunza vizuri huo husia wa huyo babu yenu.
Hujui,kaa kimya mkuu au tafuna karanga uchangamshe mdomo.Wenye vitambi vikubwaa in askari kamanda wa aina gani hao na wanaonyesha mfano gani kwa wa chini yao? Nchi ikivamiwa wataweza kweli kuwa mstari mbele kuongoza wapiganaji?!