Duble Chris JF-Expert Member May 28, 2011 3,481 564 Nov 18, 2011 #1 i huku wanadai katiba mpya maandalizi ya kula bata kwa kisingizio cha miaka 50 ya uhuru Z'bar wanapanga maandamo ijumma hii hawaupendi kabisa muungano wetu CDM hawaingii bungeni wanasambaza sumu mbaya nje ya bunge juu ya katiba Wanaharakati wameegesha mtego wa kuandamana nchi nzima kupinga namna ya kuitafuta katiba ya ukweli Wabunge wamehama hoja wanajadili chama na mbunge badala ya hoja ya katiba Majembe imara yamelazwa INDIA ambayo yangesaidia kupunguza ghasia hizi japo kwa ushauri tu machinga nao hawaambiliki hata wakipigwa mabomu kiasi gani na wanasababisha gharama zisizo za lazima kuwatuliza wanafunzi wana dai mikopo/fedha kana kwamba hawajui yanayo ikabili hii nchi kwa wakati mmoja Yote haya ni ndani ya week 2 tu
i huku wanadai katiba mpya maandalizi ya kula bata kwa kisingizio cha miaka 50 ya uhuru Z'bar wanapanga maandamo ijumma hii hawaupendi kabisa muungano wetu CDM hawaingii bungeni wanasambaza sumu mbaya nje ya bunge juu ya katiba Wanaharakati wameegesha mtego wa kuandamana nchi nzima kupinga namna ya kuitafuta katiba ya ukweli Wabunge wamehama hoja wanajadili chama na mbunge badala ya hoja ya katiba Majembe imara yamelazwa INDIA ambayo yangesaidia kupunguza ghasia hizi japo kwa ushauri tu machinga nao hawaambiliki hata wakipigwa mabomu kiasi gani na wanasababisha gharama zisizo za lazima kuwatuliza wanafunzi wana dai mikopo/fedha kana kwamba hawajui yanayo ikabili hii nchi kwa wakati mmoja Yote haya ni ndani ya week 2 tu