Nchi hii ni ya matukio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi hii ni ya matukio?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ferrari, Mar 16, 2011.

 1. f

  ferrari Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini hii nchi inaendeshwa na matukio kiasi hiki? hivi tatizo hasa hapa ni nini? kwani tu wepesi sana kusahau na kuingia mkenga kusko yaani siasa ni kila kona na kila mtu amefuzu mbwembwe kwa sasa? kunani hasa? Hata dawa ya Mchg. Mwasapile watu wanaleta propaganda jamani jamani? tutafika kweli?
   
 2. f

  furahi JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Na likija lingine, la mchungaji linafunikwa... Life goes on
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hapo ndipo Tatizo linapoanzia.....kipindi tumechachamaa na Dowans mara ikatokea Gongolamboto....Gongolamboto halijatulia mara Babu....eeh....
   
 4. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Katika mazingira haya, hivi Dowans haijalipwa kweli!
   
Loading...