Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Katoe hela kidogo kwa bosi wao utapata maji siku hiyo hiyo...lakini pole sana kwa usumbufu uliopata
Mkono mtupu haulambwi,umesahau unaishi Tanzania hakuna kinachowezekana bila kitu kidogo.
Tatizo system nzima toka juu ilishaoza,kuwa tu mpole kuna siku wakipenda watakuja,ila bill huwa haichelewi.
Hii nlikua sjaiskia. Kila mtz sasa ame-adapt tabia za mbwa mwitu wene njaa na wasio na utu. Kha!nakubaliana na wewe yaani hadi walinzi na messengers,mfano yaani utakuta umeenda ofisi fulani ya serikali umepaki gari parking ya hizo ofisi ukitoka mlinzi anakataa kufungua geti eti hadi umpe hela ya kulinda gari yako this is extremely insane hadi umuite bosi wake atukanwe kwanza ndo anakufungulia
Hii nlikua sjaiskia. Kila mtz sasa ame-adapt tabia za mbwa mwitu wene njaa na wasio na utu. Kha!