Nchi gani unaona ina mandhari mazuri?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,912
Reaction score
16,230
Je ni nchi gani ukifuatilia unaona hii nchi ina mazingira mazuri, ya kuvutia mbele ya macho?

Binafsi naona Marekani. Nchi ya Marekani ina mazingira mazuri sana kuanzia Nature, miji, vijiji hadi suburbs

Nimeweka picha kueleza kwa nini nahisi Marekani ndio nchi yenye mandhari mazuri kwa upande wangu

Kiufupi naona kimandhari Marekani imekamilika sana
Nature


Miji


Miji midogo na vijiji


Amazing country
 
Mi napapenda Croatia, italy ( kisiwa cha sicilly ) Greece
 
Indonesia
Pakstan
Haloo kabla sijafa lazima nitembelee hizo nchi sibkwa kijani kilichopo kwenye milima yao
 
Cheki Mongolia, Bhutan, Kyrgyzstan, Chile, St Nevis & Kitts, St Lucia to mention a few.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…