Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 434
Wasalam Wakuu,
Nchi yetu bado haijawa sana stable kwa upande wa democrary na kiuchumi pia. Lakini tusibeze mafanikio na juhudi wanazozifanya Viongozi wetu.
But kuna nchi ambayo unatamani iwe ni ya mfano kwa nchi yetu kujifunza, or Kiongozi wa kuigwa mfano na wakuu wetu wa nchi. Kujifunza ni kwa njia nyingi na huo mfano unaweza kua ni mfano wa kuigwa kwetu na ukatusaidia kusonga mbele kimaendeleo
Unaweza kua na mawazo mazuri sana lakini ukashindwa namna ya kuyafanyia kazi or mwenzako anaweza kuiba wazo lako na kulifanyia kazi kwa namna iliyo bora zaidi
Mie binfasi namkubali sana Nelson Mandela