bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Mar 3, 2017 #1 Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani . 1.Qatar 2.Luxembourg 3.Singapore 4.Kuwait 5.Brunei Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu.
Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani . 1.Qatar 2.Luxembourg 3.Singapore 4.Kuwait 5.Brunei Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,717 Reaction score 44,115 Mar 3, 2017 #2 Naona hizo data zimepikwa na Shilawadu.
Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,561 Reaction score 16,339 Mar 3, 2017 #3 Frank Wanjiru said: Naona hizo data zimepikwa na Shilawadu. Click to expand... Ni kweli mkuu kama huamini tafuta data acha uvivu
Frank Wanjiru said: Naona hizo data zimepikwa na Shilawadu. Click to expand... Ni kweli mkuu kama huamini tafuta data acha uvivu
marveljt JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,503 Reaction score 1,479 Mar 3, 2017 #4 Frank Wanjiru said: Naona hizo data zimepikwa na Shilawadu. Click to expand... Fungua hapa Global Finance Magazine - The Richest Countries in the World
Frank Wanjiru said: Naona hizo data zimepikwa na Shilawadu. Click to expand... Fungua hapa Global Finance Magazine - The Richest Countries in the World
marveljt JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,503 Reaction score 1,479 Mar 3, 2017 #5 Planett said: Ni kweli mkuu kama huamini tafuta data acha uvivu Click to expand... Mwambie na tanzania ni ya 155
Planett said: Ni kweli mkuu kama huamini tafuta data acha uvivu Click to expand... Mwambie na tanzania ni ya 155
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,797 Reaction score 86,568 Mar 3, 2017 #6 tanzania ni yangapi maana tunaskiaga tu tajiri tajiri
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,997 Mar 3, 2017 Thread starter #7 KENZY said: tanzania ni yangapi maana tunaskiaga tu tajiri tajiri Click to expand... Kati ya nchi 180 bora hata haipo
KENZY said: tanzania ni yangapi maana tunaskiaga tu tajiri tajiri Click to expand... Kati ya nchi 180 bora hata haipo
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Mar 3, 2017 #8 Ni kweli kabisa ndiyo nchi tajiri hizo
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,797 Reaction score 86,568 Mar 3, 2017 #9 bushland said: Kati ya nchi 180 bora hata haipo Click to expand... duh! sasa si tuiuze tugawane hela kila mtu aende anapotaka
bushland said: Kati ya nchi 180 bora hata haipo Click to expand... duh! sasa si tuiuze tugawane hela kila mtu aende anapotaka
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,693 Reaction score 21,767 Mar 3, 2017 #10 Lkn cha ajabu US ana bugdet kubwa ya jeshi kulko hiyo top 5 combined .US anapenda ugomvi sana
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,199 Reaction score 17,640 Mar 3, 2017 #11 Kazi kweli kweli Tanzania haipo kabisa
marveljt JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,503 Reaction score 1,479 Mar 3, 2017 #12 KENZY said: tanzania ni yangapi maana tunaskiaga tu tajiri tajiri Click to expand... Ya 155 Attachments Screenshot_20170303-162636.png 31.1 KB · Views: 265 Screenshot_20170303-164324.png 21.2 KB · Views: 287 Screenshot_20170303-164310.png 14.3 KB · Views: 276
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,766 Reaction score 10,607 Mar 3, 2017 #13 Wameangalia wastani wa pato LA MTU mmoja mmoja. Marekani jumla ya mapato ni kubwa kuliko nchi zote,tatizo RAIA ni wengi. Wastani mdogo. Ni sawa uwe unapata 6M kwa mwezi halafu use na family ya watu 100.
Wameangalia wastani wa pato LA MTU mmoja mmoja. Marekani jumla ya mapato ni kubwa kuliko nchi zote,tatizo RAIA ni wengi. Wastani mdogo. Ni sawa uwe unapata 6M kwa mwezi halafu use na family ya watu 100.
jumbep Member Joined Aug 20, 2014 Posts 74 Reaction score 129 Mar 3, 2017 #14 bushland said: Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani . 1.Qatar 2.Luxembourg 3.Singapore 4.Kuwait 5.Brunei Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu. View attachment 476432 Click to expand... Hivi huko Brunei ndiko Profesa Jay alipaimba kwenye wimbo wa Bongo Dar es Salaam?? Nanukuu kipande hiko cha mstari, "Wanatamani wangezaliwa BRUNEI wamwage radhi". Kama ni huko natamani nifahamu zaidi.
bushland said: Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani . 1.Qatar 2.Luxembourg 3.Singapore 4.Kuwait 5.Brunei Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu. View attachment 476432 Click to expand... Hivi huko Brunei ndiko Profesa Jay alipaimba kwenye wimbo wa Bongo Dar es Salaam?? Nanukuu kipande hiko cha mstari, "Wanatamani wangezaliwa BRUNEI wamwage radhi". Kama ni huko natamani nifahamu zaidi.
Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,953 Mar 3, 2017 #15 Hapo msomaji wa hizo takwimu anapaswa ajue kigezo kipi kimetumika