ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,429
- 89,837
- Thread starter
- #21
AmaniUkiambiwa uchague kati ya
HAKI na AMANI utachagua nn?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu na siyo chawa!
AmaniUkiambiwa uchague kati ya
HAKI na AMANI utachagua nn?
Jibu kama mtu mwenye akili timamu na siyo chawa!
Sio tuu kwamba tuko top 10 ya Nchi Zenye Amani Zaidi Afrika Bali tunaongoza Afrika Mashariki.
View: https://www.instagram.com/p/DLt5zTFt0fz/?igsh=MXR5djI1MHJtNzhrcQ==
My Take
Hongera SSH Kwa kuhakikisha amani ya Nchi yetu haichezewi na vibaraka na Mabeberu Wao.
View: https://www.instagram.com/p/DLt1Q_yqBbS/?igsh=bjQ0a2xwMnUyazN0