Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Sasa kama pamoja na kauli hizo,bado yupo uraiani,ni kiasi tu cha kuunganisha dots na kubaini kuwa,ingawa waropokaji wakubwa,wa hayo maneno,yanayosababisha maafa.
But in the real sense,each and everything,has all the blessings of their big boss JK!!
Huo ni utabili wa Mh. mwigulu. Nimeamini Mwigulu ni fimbo ya chadema.
Imekuwa ni dhahiri kwake,kila akitoa tamko la mauaji na lazima yatokee kuna nini?
1.Alisema ana Cd ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.Na mateso ya kibanda kung'olewa meno na kucha yakatokea.
2.Katika mikutano ya kampeni Arusha alisema,watu wasipochagua ccm watakufa na kuna watu wamekufa kwa mlipuko wa bomu.
HITIMISHO: kauli hizi zimekuwa zikisemwa na mambo kama haya ya uvunjifu wa amani yanatokea,Huoni kuwa Mwigulu anaweza akawa anapanga haya mambo ili kutimiza adhima yake? Tubadilishane mawazo wadau.