Nchemba anasubiri nini kukamatwa?

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Imekuwa ni dhahiri kwake,kila akitoa tamko la mauaji na lazima yatokee kuna nini?
1.Alisema ana Cd ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.Na mateso ya kibanda kung'olewa meno na kucha yakatokea.
2.Katika mikutano ya kampeni Arusha alisema,watu wasipochagua ccm watakufa na kuna watu wamekufa kwa mlipuko wa bomu.
HITIMISHO: kauli hizi zimekuwa zikisemwa na mambo kama haya ya uvunjifu wa amani yanatokea,Huoni kuwa Mwigulu anaweza akawa anapanga haya mambo ili kutimiza adhima yake? Tubadilishane mawazo wadau.
 
Sasa kama pamoja na kauli hizo,bado yupo uraiani,ni kiasi tu cha kuunganisha dots na kubaini kuwa,ingawa waropokaji wakubwa,wa hayo maneno,yanayosababisha maafa.

But in the real sense,each and everything,has all the blessings of their big boss JK!!
 
Ina maana hao kina Mwigulu na Nape ni loudspeakers tu,lakini kwa vyovyote vile hayo yatakuwa ni maelekezo ya mkulu mwenyewe.
 
Sasa kama pamoja na kauli hizo,bado yupo uraiani,ni kiasi tu cha kuunganisha dots na kubaini kuwa,ingawa waropokaji wakubwa,wa hayo maneno,yanayosababisha maafa.

But in the real sense,each and everything,has all the blessings of their big boss JK!!

Nashangaa hata wanapotoa kauli nzito za kuwa,waliohusika wasakwe iwe ndani au nje ya nchi na wapelekwe kwenye vyombo vya sheria.Tukubali makosa ili tujirekebishe kuwa tulikosea kuchagua.
 
Anatakiwa kukamatwa na kuhojiwa juu ya kauli yake mara moja,vinginevyo vyombo vya usalama vitakuwa haviko tayari kukamata wahusika wa mauji haya yalio tokea jana na huko nyuma...
 
Huo ni utabili wa Mh. mwigulu. Nimeamini Mwigulu ni fimbo ya chadema.

kwa hiyo wew unafurahia mauaji? Hufai wewe,hivi wangekuwa ndio ndugu zako wamekufa au kuteswa kwa kung'olewa kucha na meno ungesema kauli yako hii?
 
kuna wadau wa JF ktk kuchangia thread walisema jana jioni Mwigulu aliondoshwa kwenye hoteli aliyokuwa analala uku akiwa amepewa ulinzi. taarifa hizi hazijathibitishwa.
 
Imekuwa ni dhahiri kwake,kila akitoa tamko la mauaji na lazima yatokee kuna nini?
1.Alisema ana Cd ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.Na mateso ya kibanda kung'olewa meno na kucha yakatokea.
2.Katika mikutano ya kampeni Arusha alisema,watu wasipochagua ccm watakufa na kuna watu wamekufa kwa mlipuko wa bomu.
HITIMISHO: kauli hizi zimekuwa zikisemwa na mambo kama haya ya uvunjifu wa amani yanatokea,Huoni kuwa Mwigulu anaweza akawa anapanga haya mambo ili kutimiza adhima yake? Tubadilishane mawazo wadau.

Time will tell! Ipo siku Mwigulu atawajibika kuzieleza kauli zake!
 
Pemba ccm ilikua inafanya madhambi ya kuua,kutesa,kuwaibia,kuwabaka watu kila siku wakishirikiana na polisi
 
Imekuwa ni dhahiri kwake,kila akitoa tamko la mauaji na lazima yatokee kuna nini?
1.Alisema ana Cd ya viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji.Na mateso ya kibanda kung'olewa meno na kucha yakatokea.
2.Katika mikutano ya kampeni Arusha alisema,watu wasipochagua ccm watakufa na kuna watu wamekufa kwa mlipuko wa bomu.
HITIMISHO: kauli hizi zimekuwa zikisemwa na mambo kama haya ya uvunjifu wa amani yanatokea,Huoni kuwa Mwigulu anaweza akawa anapanga haya mambo ili kutimiza adhima yake? Tubadilishane mawazo wadau.

Jamaa ametimiza wajibu wake na waliomtuma wapo sehemu wanachekelea, Usisahau kauli ya Mulongo kwamba atamwonyesha LEMA kuwa yeye ni serikali. Dawa ya hawa jamaa sasa ni kuingia kikamilifu kwenye harakati za Ukombozi. Damu iliyokwisha mwagika sasa intosha. Saa ya UKOMBOZI ni sasa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom