NCCR Wajitoa jimbo la Igunga

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Wadau,
CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae wakisimamisha ionekane anavuruga upinzani? Wadau nyie mwalionaje hili?
 
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi Samuel Ruhuza, amesema chama chake kutoshiriki uchaguzi katika jimbo la Igunga.
Amesema wameamua kufanya hivyo hili kutoa nafasi kwa upinzani kushinda jimbo hilo, wamehofia kuzigawa kura za upinzani.
SOURCE: ITV NEWS
 
CUF watangaza leo mgombea wao wa ubunge igunga na wakati huo huo NCCR nao watangaza kuunga mkono mgombea yeyote wa upinzani atayesimamishwa, mm naona wanataka kuiyumbisha cdm ili itakaposimamisha ionekane inavuruga upinzani. nyie mwaonaje?
 
akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu leo katibu mkuu wa chama hicho sam Ruhuza amesema chama chake kimeamua kufanya hivyo kutoa nafasi kwa upinzani kusimamisha mgombea mmoja anayekubalika, ambapo tutasimamisha mgombea mmoja tuna nafasi kubwa ya kushinda na fungu ambalo tulikuwa tumetenga kwa ajili ya kampeni tutajitolea kwa ajili ya huyo mgombea mmoja anayekubalika, alisema Ruhuza.
 
Mi nafikir nccr hawawez kuunga mkono cdm ukizingatai mwenyekt aligaragazwa vibaya na mdee,
 
vyama vyote vina haki sawa NCCR, CUF, na vyama vingine vyote ni vyam vya upinzani, wewe kama unaona vyama hivyo si vya upinzani mtazamo wako kama vile wengine wanavyoiona chadema chama cha upinzani.
 
Heko Mh Mbatia kwa hatua hii; kwa kitendo hicho tu KAMBI YA UPINZANI tayari mmeanza kuamsha ari mpya ya ushindi Igunga. Tunaomba ushirikiano huu upanuliwe zaidi na zaidi.

Wana-Igunga, safari hii ni nafasi nzuri sana kwenu kupata mwakilishi wa kweli wa kuchaguliwa na nyinyi wenyewe na wala si kupitia mlango wa nyuma au wakati mwingine hutajwa kama 'KAPITA BILA KUPINGWA'.

Wadau,
CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae wakisimamisha ionekane anavuruga upinzani? Wadau nyie mwalionaje hili?
 
Vyovyote iwavyo, CDM itasimamisha mgombea na ataibuka kidedea! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees, Power!
 
ukweli ni huu..
1.hawana hela ya uchaguzi
2.hata wakigombea hawatapata kura 100.
Isije ikawa wamenunuliwa na CUF. Maanake hawa nccr kwa manunuzi ni moto wa kuotea mbali. Mfano hai ni kule Ngara jamaa walinunuliwa sana.
 
Wadau,
CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae wakisimamisha ionekane anavuruga upinzani? Wadau nyie mwalionaje hili?

unafikiri upinzani ni CDM tuu....ndio maana wapinzani wanaona mna ajenda yenu ya UKABILA..sasa cdm kuiunga mkono CUF ni laana..na ukweli ni kwamba CUF ina nguvu TABORA kuliko CDM..
 
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi Samuel Ruhuza, amesema chama chake kutoshiriki uchaguzi katika jimbo la Igunga.
Amesema wameamua kufanya hivyo hili kutoa nafasi kwa upinzani kushinda jimbo hilo, wamehofia kuzigawa kura za upinzani.
SOURCE: ITV NEWS

ni kweli maana CUF si wapinzani kumbukeni wana ndoa na CCM. in other words NCCR wataungana na CHADEMA kulipata jimbo hilo. Thanks NCCR kwa ukomavu wa kisiasa - haya ndiyo mambo ambayo sisi watanzania tunataka kuyasikia.
 
Mbona wakati wa uchaguzi mdogo jimboni TARIME hawakujitoa kuepeusha kuzigawa kura za upinzani? Watuambie tu kwamba wamekosa mgombea. Na hata kama wanae wameshindwa kum-finance.
 
Vyovyote iwavyo, CDM itasimamisha mgombea na ataibuka kidedea! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees, Power!
kaka umenena na wala si ushabiki - hata ningengombea mimi kwa tiketi ya CDM ningepita tu - alama za nyakati.
 
Hapo hakuna mashaka na ilo, huo ni mwanzo mzuri wa mawazo kwa watu wenye kukaa na kufikiri, kwani lengo la upinzani ni moja
ni kumuondoa ccm mpaka ifikapo 2015. Baada ya mawazo ni kupanga na kujadliana kimaendeleo na cuf walione ilo. Na ilo lisiishie
hapo mpaka kufikia 2015 upinzanani uwe ni kitu kimoja katika kinyang'nyilo cha urais nguvu zote zielekezwe kwa mtu mmoja. tuondoe
tofauti zetu mapema, ubinafsi na tamaa ya utajiri kupitia siasa na kugombania vyeo serikalini kwa sababu binafsi. Hapo upinzani
mtaweza kuwakomboa mamilioni ya watanzania waliokuwa katika dimbwi la umaskini, wapizani kaeni mezani kuhusu swala hilo la
ukombozi wa taifa lililopoteza dira, atuwezi kuisimamisha saa wakati unaenda kwa kasi, kwa ilo mlifanye kwa wakati ulio sahihi.
Kila kitu kinawazekana kwenye nia njema.
 
Back
Top Bottom