GE2025 NCCR Mageuzi yazindua ilani yake kuelekea uchaguzi mkuu

GE2025 NCCR Mageuzi yazindua ilani yake kuelekea uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Chama cha NCCR-Mageuzi kimezindua ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025–2030 iliyobeba vipaumbele 11, ikiwemo upatikanaji wa katiba mpya.

Pia, chama hicho kimetangaza wagombea wake kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano, Haji Khamis, na mgombea mwenza, Dkt. Eveline Munis, pamoja na mgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Laila Rajabu Khamis.

 
Imezinduka kipindi cha uchaguzi kuzindua ilani🤣
 
Back
Top Bottom