NCCR-Mageuzi wajipanga kumpokea LOWASA.

NCCR-Mageuzi wajipanga kumpokea LOWASA.

Baba Clara

Member
Joined
May 10, 2011
Posts
94
Reaction score
27
kuna taarifa kuwa waziri aliyejiudhuru edward lowasa akipigwa chini kura za maoni CCM 2015 atajiunga na chama cha NCCR-mageuzi ili kugombea nafasi ya urais, kutoka ndani ya habari mazungumzo yameanza kufanyika.
 
Aende tu maana anakuwa ameamia ccm c na sio upinzani
 
Halafu bdae CCM yote ihamie NCCR ili kionekane ni chama cha upinzani kumbe ni ileile CCM.
Tehe tehe!!
Mtahangaika sana
 
Halafu bdae CCM yote ihamie NCCR ili kionekane ni chama cha upinzani kumbe ni ileile CCM.
Tehe tehe!!
Mtahangaika sana
Definitely, akihama atatoka na karibu nusu ya wanachama wote wa CCM. So tutakuwa na NCCR mageuzi kama chama cha upinzani chenye wanachama wa CCM.
 
kuna taarifa kuwa waziri
aliyejiudhuru edward lowasa akipigwa chini kura za maoni CCM 2015
atajiunga na chama cha NCCR-mageuzi ili kugombea nafasi ya urais, kutoka
ndani ya habari mazungumzo yameanza kufanyika.

Kumkabidhi fisadi nchi, ni sawa na kumpa fisi bucha asimamie mauzo! Swali la kujiuliza kwanini huo urais unatafutwa kwa nguvu kiasi hicho? Je ni mapenz na nchi yake! Watanzania yatupasa kutafakari sana kabla ya kumpa mtu kura yako.
 
Atahamaje ndani kwa ndani? Maana mi najua NCCR na CCM ni chama moja au?
 
.... ask Jesus...
for
$$$$$$$$$$
$$$$$$$$$$$€€€€€€...££££££££..... anything is possible..

... many understand this... few will agree....
 
ni naona kama kweli CCM hawana mpango na yeye - angepumzika tu; pensheni ya uwaziri mkuu ni nzuri sana. Maisha bila urais mbona yanawezekana tu jamani?
 
mi nadhani kurahisha kazi abaki CCM ila agombee kupitia freemasom,Andre Chande ampige tafu
 
Definitely, akihama atatoka na karibu nusu ya wanachama wote wa CCM. So tutakuwa na NCCR mageuzi kama chama cha upinzani chenye wanachama wa CCM.

Hivi ni chama gani hakina wahamiaji kutoka vyama vingine?
 
Hivi ni chama gani hakina wahamiaji kutoka vyama vingine?
Vyote vinao. ila tofauti yake ni moja tu. Kuna wale wanaotoaka CCM na kujiunga na vyama vingine kwa kuwa wamechoka na ubabaishaji wa CCM na kuna wale wanaotoka kwa kuwa mtu fulani ameondoka. Na mbaya zaidi ni kwamba mtu mwenyewe ni fisadi la kutupa. So tutakapokuwa na wanaCCM ambao wapo ndani ya NCCR kwa ajili ya kumfuata Fisadi Lowasa, definitely tutakuwa tumeichukua CCM ile ile kwa rangi zake zile zile na kuiweka ndani ya NCCR. Hatutakuwa tumetatua tatizo hapo.
 
Back
Top Bottom