Chama cha wanawake nchini
Hivi ni chama gani hakina wahamiaji kutoka vyama vingine?
Hivi ni chama gani hakina wahamiaji kutoka vyama vingine?
Mmmm! Source?
Kila la kheri.
Aende tu maana anakuwa ameamia ccm c na sio upinzani
kuna taarifa kuwa waziri aliyejiudhuru edward lowasa akipigwa chini kura za maoni CCM 2015 atajiunga na chama cha NCCR-mageuzi ili kugombea nafasi ya urais, kutoka ndani ya habari mazungumzo yameanza kufanyika.[[] WAKYERA WAIITU AGENDAGE
Lowasa ana vibrate?Mkuu kwani hujaona zile vibration?kwani ni mkakati asifike?Atafika 2015?