Nbaa tunataka tuone marks zetu!

Nbaa tunataka tuone marks zetu!

KLE

Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
35
Reaction score
15
Watuwekee marks zetu pia iwepo nafasi ya kuzihakiki pale umuhimu utakapo kuwepo! Wakati test zinafunguliwa wanatuonyesha ila kinachockitisha baada ya kufanywa kinachoendelea ni GIZA NENE kwa watahiniwa!! UWAZI UPO WAPI??? JE HUKO NAKO WANAPO MARK HIZO TEST WANAPELEKWA MASHAHIDI KUANGALIA KAMA KINACHOENDELEA NI SAWA KAMA WATUONYESHAVYO KABLA YA KUFANYA TEST??? Serikali BUNGE) tunaomba iangalie hili swala kwa umakini!!
 
kwanza pepa ilileak...maswal wamecopy n paste from f3 acca 2011
 
wapuuzi sana, ndio maana cpa mambo huwa hayaendi poa kumbe jamaa ni wababaishaji
 
Mkuu unasoma account ukubwani mambo yatatembeaje? Utawalaumu bodi bure tu !
 
Watuwekee marks zetu pia iwepo nafasi ya kuzihakiki pale umuhimu utakapo kuwepo! Wakati test zinafunguliwa wanatuonyesha ila kinachockitisha baada ya kufanywa kinachoendelea ni GIZA NENE kwa watahiniwa!! UWAZI UPO WAPI??? JE HUKO NAKO WANAPO MARK HIZO TEST WANAPELEKWA MASHAHIDI KUANGALIA KAMA KINACHOENDELEA NI SAWA KAMA WATUONYESHAVYO KABLA YA KUFANYA TEST??? Serikali BUNGE) tunaomba iangalie hili

Hujiwezi ww mbona mitihani ya taifa hujaomba marks zako???? Umeshawahi kufanya written interviews ngapi? Na ngapi walikuwekea marks?? Jipange piga shule ufaulu sio kulialia humu ndani..
 
NBAA, kwa sasa Wamepoteza mwelekeo kwa tamaa.Ukweli kwa sasa wapo kimasilahi na ni BIAS sana.Hakuna haja ya kuwapa Fursa ya kutunga mitihani ya WRITTEN ya Interview wao wabaki na kazi ya BOARD TU, Ni Bora hiyo kazi ya kutunga mitihani ya Written interview kuwapa NECTA tu.Hao jamaa kwanza wamelikisha paper then hawajasahihisha wameweka tu majibu bila Alama yeyote, hapa ukweli ukowapi, NBAA tumie fursa mnazo pewa kwa uwaminifu na si kimasirahi yenu. Hayo majibu hayana lolote, kama kuna mtu anabisha atoe uthibitisho wake humu kwenye hii thread.
 
Watuwekee marks zetu pia iwepo nafasi ya kuzihakiki pale umuhimu utakapo kuwepo! Wakati test zinafunguliwa wanatuonyesha ila kinachockitisha baada ya kufanywa kinachoendelea ni GIZA NENE kwa watahiniwa!! UWAZI UPO WAPI??? JE HUKO NAKO WANAPO MARK HIZO TEST WANAPELEKWA MASHAHIDI KUANGALIA KAMA KINACHOENDELEA NI SAWA KAMA WATUONYESHAVYO KABLA YA KUFANYA TEST??? Serikali BUNGE) tunaomba iangalie hili swala kwa umakini!!

NBAA, kwa sasa Wamepoteza mwelekeo kwa tamaa.Ukweli kwa sasa wapo kimasilahi na ni BIAS sana.Hakuna haja ya kuwapa Fursa ya kutunga mitihani ya WRITTEN ya Interview wao wabaki na kazi ya BOARD TU, Ni Bora hiyo kazi ya kutunga mitihani ya Written interview kuwapa NECTA tu.Hao jamaa kwanza wamelikisha paper then hawajasahihisha wameweka tu majibu bila Alama yeyote, hapa ukweli ukowapi, NBAA tumie fursa mnazo pewa kwa uwaminifu na si kimasirahi yenu. Hayo majibu hayana lolote, kama kuna mtu anabisha atoe uthibitisho wake humu kwenye hii thread.
 
NBAA, kwa sasa Wamepoteza mwelekeo kwa tamaa.Ukweli kwa sasa wapo kimasilahi na ni BIAS sana.Hakuna haja ya kuwapa Fursa ya kutunga mitihani ya WRITTEN ya Interview wao wabaki na kazi ya BOARD TU, Ni Bora hiyo kazi ya kutunga mitihani ya Written interview kuwapa NECTA tu.Hao jamaa kwanza wamelikisha paper then hawajasahihisha wameweka tu majibu bila Alama yeyote, hapa ukweli ukowapi, NBAA tumie fursa mnazo pewa kwa uwaminifu na si kimasirahi yenu. Hayo majibu hayana lolote, kama kuna mtu anabisha atoe uthibitisho wake humu kwenye hii thread.
 
Watuwekee marks zetu pia iwepo nafasi ya kuzihakiki pale umuhimu utakapo kuwepo! Wakati test zinafunguliwa wanatuonyesha ila kinachockitisha baada ya kufanywa kinachoendelea ni GIZA NENE kwa watahiniwa!! UWAZI UPO WAPI??? JE HUKO NAKO WANAPO MARK HIZO TEST WANAPELEKWA MASHAHIDI KUANGALIA KAMA KINACHOENDELEA NI SAWA KAMA WATUONYESHAVYO KABLA YA KUFANYA TEST??? Serikali BUNGE) tunaomba iangalie hili swala kwa umakini!!

Acheni hizo vijana,,someni...ukifeli CPA ya NBAA ujue hujasoma!!..hakuna siasa hapo..those guys are very good at marking...
 
Hata kama wapo good kwenye Marking point hapa ni OPENESS
 
NBAA, kwa sasa Wamepoteza mwelekeo kwa tamaa.Ukweli kwa sasa wapo kimasilahi na ni BIAS sana.Hakuna haja ya kuwapa Fursa ya kutunga mitihani ya WRITTEN ya Interview wao wabaki na kazi ya BOARD TU, Ni Bora hiyo kazi ya kutunga mitihani ya Written interview kuwapa NECTA tu.Hao jamaa kwanza wamelikisha paper then hawajasahihisha wameweka tu majibu bila Alama yeyote, hapa ukweli ukowapi, NBAA tumie fursa mnazo pewa kwa uwaminifu na si kimasirahi yenu. Hayo majibu hayana lolote, kama kuna mtu anabisha atoe uthibitisho wake humu kwenye hii thread.

Marks hatuweki, hutaki unaacha.

NECTA yenyewe kuna watu wanasema inapendelea upande wa pili.

Kuna ACCA unaweza kufanya.
 
@rudvena,..ana hja,..ofcourse akuna ushaidi wowote wa kua ile paper ililikishwa ila bado akuna openess ya uhalali wa matokeo yaliyotokea na pia akuna uhalali wa mahamuzi yaliyochukuliwa kwa baadhi ya watainiwa kuchagulkiwa kufanya second written interview na wengne kwenda direct oral interview..yaani kunamazingira meng ya utatanishi..ofcourse NBAA is among the currupt organization kam nyingne inayoonekana kwa wtu dhaifu kua ni safi..kama kunawatu wana cpa zakupewa unadhani hyo bodi ni clean?
 
Kama watu walikuwa nayo wakasolve unataka ushahidi upi mkuu?vipi na kipindi kile walipolikisha ya TANAPA hukujua?nasikitika kuwa hawa jamaa wanapoteza credibility !juzi vilitembea vimemo na si siri!
Kupanga ni kuchagua!:heh:
 
Back
Top Bottom