Damn, sounds like a hater.. Give a young man some love. He's in playoffs, playing or not.
Hah hah hah kati ya wachezaji watano mazezeta wa NBA na lenyewe limo...
Sasa unataka kulitetea ati kisa litanzania...
Huyo ni ushuzi tu
Hahahahaha lakini anapeperusha bendera yetu bana. Afu game lake limekuwa ukilinganisha na first season. I believe he will get some playing time in this playoffs. show some support lol.
hahahahahaaa jamani msimpode huyo ni mtanzania mwezetuMkia wa Mbuzi huyo...
Haustiri uchi wala haufukuzi Nzi...utanikumbuka
huyo ushuzi amecheza?
Umeongea mkuu kwani jamaa ni kivuli tu. Najiuliza hivi huyu jamaa doesn't feel sorry for himself for he is useless? Wenzake wote waliotamba college wanawika hivi sasa NBA, yeye anawaza kuja Tanzania summertime kupigana disco na kujionyesha mitaani. Wala msiite hiyo timu Tanzania kwani wenyewe wakijuwa watakasirika na tutakosa watalii kuja huku.
Kwani kashagombana tena tangu mwaka ule vs TID? na hiyo ilikuwa miaka 3 iliyopita. Ukiangalia game lake limekuwa ukilinganisha na alivyoingia ligini. Na sio kweli kwamba wote waliotoka College wanatamba. Kuweni wa kweli sio unazi na uzandiki bana.
Kwani kashagombana tena tangu mwaka ule vs TID? na hiyo ilikuwa miaka 3 iliyopita. Ukiangalia game lake limekuwa ukilinganisha na alivyoingia ligini. Na sio kweli kwamba wote waliotoka College wanatamba. Kuweni wa kweli sio unazi na uzandiki bana.
Ila Hasheem kweli anazingua, wenzake alioingia nao wanatisha sana, ndo wanategemewa na team zao,,
Angalia mwenyewe pick no 1- Blake glifrin ni All star,, pick no 4- James Harden ndo tegemezi la rockets kwenye play offs,pick no 7- Stephon Curry nae ndo key player wa Warriors.. Pick no 10-Brandon Jennings ndo key player wa Bucks na na inasemekana ni best point guard in NBA mwenye umri mdogo... Ila hasheem sijui kawaje.. Au wabongo mmemwendea kwa babu?