NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Wamewapiga mara mbili ila ilikuwa pre season. Leo wako na Blazers unaweza wapa ushindi, ila kule Blazers kuna jamaa mmoja anaitwa Lillard ni noma.
Lakers nimeanza kuishabikia tena baana lebron kujiunga nao,nakumbuka kipind cha kobe nilikua nawakubali sana
 
Blazers huwa wananikera sana yaani kila siku wanakomea play off tu.
yah yah ile ya mwaka huu waliokutana nayo toka New Orleans naweza kusema bahati mbaya tu. Mimi binafsi bado nawaamini Blazers na watawapiga Lakers kesho kutwa.
 
Lakers nimeanza kuishabikia tena baana lebron kujiunga nao,nakumbuka kipind cha kobe nilikua nawakubali sana
kama Cavs walivyokuwa maadui wa GSW bila shaka na Lakers mtaanza kuichukia GSW maana ndio timu pekee yenye vichwa vulivyozima jina la LeBron
 
Ingependeza kama mods wangesaidia kubadili heading ya uzi maana ni msimu mpya sasa (2018/2019).
 
Portland 128 vs Lakers 119
Mziki wa Portland si wa kitoto
Lakers are good though, I see them beating Houston the next game. Houston aren't serious as always.
 
Nimemuona Staukas katika kiwango bora kabisa.
Portland 128 vs Lakers 119
Mziki wa Portland si wa kitoto
Lakers are good though, I see them beating Houston the next game. Houston aren't serious as always.
 
Portland 128 vs Lakers 119
Mziki wa Portland si wa kitoto
Lakers are good though, I see them beating Houston the next game. Houston aren't serious as always.
Mkuu naomba matokeo? naona walipanic hadi wakarusha ngumi,

James harden si mtu mzuri
 
Kuna huyu mtu anaitwa Kemba Walker ni wakumtizama sana msimu huu. Jamaa yuko kwenye kiwango kizuri mno anafurahisha kumtizama
 
Kuna huyu mtu anaitwa Kemba Walker ni wakumtizama sana msimu huu. Jamaa yuko kwenye kiwango kizuri mno anafurahisha kumtizama
Huyo mbona mchezaji mzuri ila tatizo ni hiyo timu anayoichezea tu ndo magumashi... angepata timu kama Milwaukee Bucks ingependa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom