NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Wamewapiga mara mbili ila ilikuwa pre season. Leo wako na Blazers unaweza wapa ushindi, ila kule Blazers kuna jamaa mmoja anaitwa Lillard ni noma.
Usimpe ushindi Lakers please usiwachukulie poa Blazers, game za preseason hua hawako serious. Back court ya Blazers is one of the best and efficient in the league plus the chemistry of Nurkic and Staukas Portland can break Lebron no matter what. Pia Lakers bado hawajapata team chemistry ambayo ndio kiungo muhimu katika ushindi kwenye Basketball.
 
Wamewapiga mara mbili ila ilikuwa pre season. Leo wako na Blazers unaweza wapa ushindi, ila kule Blazers kuna jamaa mmoja anaitwa Lillard ni noma.
Mbona hata Phoenix waliwapiga Golden State. Unasemaje kuhusu hilo.
 
Hahahhahaa Phoenix pre season walikuwa wazuri mno. Ila mchezo alio cheza leo GSW mbovu mno napata mashaka kama msimu huu watafanya vizuri.
Mbona hata Phoenix waliwapiga Golden State. Unasemaje kuhusu hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom