Huyu mzee anafurahisha sana...anyways ni vizuri anachangamsha jukwaa.
Ha ha ha, jamaa anachekeshaga jukwaani kwa posts za vijembe vijembe.
Raimundo, amini usiamini, mmewazuia wapenzi wengi wa GSW kuposti...labda unasahau mlivyolikimbia jamvi nyakati zilee...eti wapenzi wa [HASHTAG]#TheDubNation[/HASHTAG], hawataki kuwapa nafasi mpumue, ebo! Nzi tulilazimika kumtafuta kwa udi na uvumba kumbembeleza arudi kwa ahadi kuwa tungepunguza mahaba na wewe mwenyewe ukabaki kuchungulia tu na kusepa. Mimi na wenzangu tukaamua kuwaacha mpumue lakini ona sasa...kweli masikini haokoti, akiokota matako hulia mbwata! Ha ha haaaa..mbavu zangu!Jamaa analilia kupendwa...Naona Mag3 kapata mfuasi, maana naye ndo anaongoza kwa kulia eti kwa nini hatuipendi GSWs...Eti GSWs tunawazuia kupost au mnaona aibu kupost!
Raimundo, amini usiamini, mmewazuia wapenzi wengi wa GSW kuposti...labda unasahau mlivyolikimbia jamvi nyakati zilee...eti wapenzi wa [HASHTAG]#TheDubNation[/HASHTAG], hawataki kuwapa nafasi mpumue, ebo! Nzi tulilazimika kumtafuta kwa udi na uvumba kumbembeleza arudi kwa ahadi kuwa tungepunguza mahaba na wewe mwenyewe ukabaki kuchungulia tu na kusepa. Mimi na wenzangu tukaamua kuwaacha mpumue lakini ona sasa...kweli masikini haokoti, akiokota matako hulia mbwata! Ha ha haaaa..mbavu zangu!
2nd-round matchup is set. Raptors Vs Cavs: Who ya got?
Hii Series itakuwa poa sana... Best Offensive Team Vs Best Defensive Team...2nd round matchup is set Spurs Vs Houston Rockets: Who ya got?
Kawhi is going to give Harden ''the business''.
The Klaw vs. The Beard.
Raptors are going to throw bodies(PJ Tucker and Ibaka) just to slow down LBJ but it ain't gonna be enough. Cavs will breakthrough nonetheless.2nd-round matchup is set. Raptors Vs Cavs: Who ya got?
Defense wins this series..need I say more?2nd round matchup is set Spurs Vs Houston Rockets: Who ya got?