NBA 2016/2017 Season Special Thread

a72d21501fb615b8994c8ed3bb425f76.jpg

BREAKING: Pelicans agree to trade 3 players, including Buddy Hield, and future 1st and 2nd round picks to Kings for DeMarcus Cousins. (via @sportscenter)

Dah, wakiweza kumretain next season nadhani tutawaona NOP katika ushindani wa hali ya juu sana.
 
Dah, wakiweza kumretain next season nadhani tutawaona NOP katika ushindani wa hali ya juu sana.
Ila watahitaji kumuajiri daktari wa kumtoa mapepo ya kufyatuka...Cousins bwana, alivyo na vihasira utafikiri ana undugu na mkurupukaji-in-chief wetu!
demarcus_cousins_starters.jpg

i

screen-shot-2016-12-17-at-12-10-50-pm.png
 
Cousins ni Old School Style, naamini akiwa na Anthony atakuwa vizuri, hata walipokuwa na Rondo jamaa alibadilika sana.
 
Sikupata nafasi kabisa ya kuangalia Sherehe za All Stars mwaka huu, leo nimecheki cheki highlights kiasi. Nadhani ni wakati sasa kama Stephen A Smith alivyoshauri hizi dunking contests zishirikishe watu wa mtaani zaidi kulika hawa pros, zinaweza kuwa na mvuto zaidi.

Ila kuna huyu dogo kani-impress sana aisee

Who is Jarrius Robertson, the inspiring young fan stealing the show at NBA All-Star weekend?
Huyu dogo ni fan mkubwa wa New Orleans Saints ya NFL. Ameshapata media attention sana, na kwakweli alifanya vyema hata alipoalikwa na wwe kwenye launching ya Wrestlemania. Na ameua kwenye hii all star. He's hilarious and his interviews where just so good to miss
 
Eti anamwambia LBJ "Am the play maker you crying to have".
 
Eti anamwambia LBJ "Am the play maker you crying to have".
Hahahaha anamwambia Russell props to what you've done.. It was hard since KD left fighting for playoffs. Russell akamjibu we'll make the playoffs. Dogo anamwambia you need shooters.. Russell ikabidi amuulize tu you need to come play for us?
 
Dogo yuko so updated kuhusu game, aliuliza maswali ya ukweli aisee. Anamwambia DeAndre Jordan kwamba I Shoot better than you!
 
Overall the all-star event is becoming a joke, guys don't play defense, just shoot shoot and shoot some more, if someone trying to score, let him score, get out of the way, at least they should've tried to be serious in the 4th quarter. I don't think I am watching this shit show next season tbh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom