Bingwa anapigwa back to back...
Kila siku ni excuse baada ya excuse...hivi jana CAVs ilipopigwa 102-86, nitajie hao ambao hawakucheza! Yaani defending champions hata wakifungwa, kwa
msocial ni
non-issue ila Warriors wakifungwa eti ni
newsworthy! Rekodi ya CAVS nyumbani ni
18-3 lakini ugenini ni
10-7...aibu kubwa kwa timu bingwa!
Yale yaleee...! Utetezi usio na kichwa wala miguu. Jana Trail Blazers kawahenyesha na badala ya kukubali kama alivyofanya
Raimundo, wewe unaleta sababu maandazi
😵 Hebu angalia hapa...!
Pamoja na kukabwa na King na subjects wake watiifu wawili, McCollum anazidi kutungua tu! Bahati yenu Lilard jana kapoa la sivyo kipigo kingekuwa cha hatari. Acheni visingizio
😱😱😱!
Juzi hapa mmejitetea, oh subirini J. R. Smith arudi ha hahaaa, jana karudi akakuta anachezeshwa sindimba, angalieni hapa...!