Nazimikia ushingi wa FF

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,613
Reaction score
16,190
Jamani jamani!! Hebu nisaidieni nitampataje? Maan mida hii saa sita usingizi hakuna
 
Umetumia lugha gani hapo heading sijaelewa ushingi ndio nini?au ndio mnatakiwa mkajiandikishe upya huko kagera?
 
Ngoja amalize mfungo FaizaFoxy atakujibu ufunguke zaidi huenda umezimikia kingine zaidi ya ushungi
 
Last edited by a moderator:
humjui FaizaFoxy (FF) mkongwe wa JF dada yetu / anaweza kuwa mama yako au bibi yako kiumri pia, amekuwa mtoro sana:tape:, japo jukwa la siasa anapiga chapo kwa machale sana siku hizi huonekani sana pia huenda ndo maana hukung'amua kwa haraka maana FF
nilikuwa sijaelewa kwenye FF ila kwa sasa nimejua anachomaanisha
 
Last edited by a moderator:
humjui FaizaFoxy (FF) mkongwe wa JF dada yetu / anaweza kuwa mama yako au bibi yako kiumri pia, amekuwa mtoro sana:tape:, japo jukwa la siasa anapiga chapo kwa machale sana siku hizi huonekani sana pia huenda ndo maana hukung'amua kwa haraka maana FF

namjua sana huyo mdada,namwitaga dada mkubwa yes ni kingongwe sana

sema upatikanaji wake hum ndani sio wa sana
 
Huyu FF ni noma alinikaribisha kwa mkwara Hapo kipindi ndo najipenyeza Jukwaa la siasa,Tulimisi sana maandako yake
"Vox populi Vox dei"
 
Huyu FF ni noma alinikaribisha kwa mkwara Hapo kipindi ndo najipenyeza Jukwaa la siasa,Tulimisi sana maandako yake
"Vox populi Vox dei"

Ulimisss wewe na nani? Hebu jizungumzie mwenyewe eboo!
 
Kaongee na Nchemba.. Maana ni shoga ake wa karibu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…