Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,943
- 1,013
Huyu ni mwanafunzi au mpiga debe?
ndio mjanja wa skonga !! :hat:
hawa ndio wanaandika mistari ya bongo flavor kwenye mitihani..tulivaa kata k lakini hii ni uchizi
hii kitu kiukweli hata mimi niliifanya baada ya kumaliza paper ya mwisho nikawapa marafiki zangu marker pen wana sign in ma shirt na ninalo mpaka leo ts like ukumbusho fulani hivi nikiwakumbuka marafiki zangu naangalia shirt langu, ilikuwa kama style hivi ambayo mtu akimaliza shule anafanya hivyo for ukumbusho tuu.Kutoka kwenye ule mtindo wa kuvalia suruali matakoni ili hali nguo ya ndani inaonekana kirahisi sasa wamekuja na mpya.
Sijui labda ile ya kwanza inawafanya hawajulikani vizuri pengine hii itawatambulisha,
labda kupata Div 0 hakuwatambulishi vizuri pengine hii itawajulisha.
Nafikiri wenzake wanamwona mjanja.
Hii itakuwa siku ya mwisho baada ya mitihani wakaamua kuweka kumbukumbu kwenye mashati. Kuna jamaa analoshati la tangia 1947 lina shaii za washikaji wake wengi tu.