Nayakumbuka siku ile ya tar 29.

Mimi nakitupia lawama kubwa chama kinachotuongoza.
 
Sa100
 
Naichukia ccm na Samia, nilienda kumuona mtoto wa mjomba wangu pale ccm katoro alikuwa amepigwa risasi kichwa kimefumka ubongo upo nje, hakuwa na kosa alikuwa ametumwa mahitaji ya nyumbani tu!!. Yeyote anayetetea polisi na ccm hii ya Samia hajakutwa na baya la Samia na ccm!.
Kumekosekana watu mhim wakutufanya kuwa na watu tutakaoungana kulipa kisasi hiki😭😭😭.... Ila Iko siku tutalipa tena kwa Bunduki nzito naamini hili.
 
Shukuru sana Mungu ulisalimika wengine risasi ziliwafuata hukohuko ndani kwao
 
Polisi walichangia kuchafua hali ya hewa hakukuwa na ulazima wa kupiga mabomu na risasi ovyoovyo
Waliambiwa wafanye hivyo, hukumsikia aliyewatuma alisifia nguvu iliyotumika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…